Jumuiya za CCM, Vijana, Wazazi na UWT juzi zilifanya mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Magogoni nje kidogo ya mji wa Zanzibar kuonyesha msimamo wao wa kuukubali Muungano wa Tanzania na kulaani jumuiya ya Uamsho ambao wamedaiwa kuingiza dini katika siasa na kuwapotosha Wazanzibari juu ya Muungano.
Katika mkutano huo, Sheikh Juma Faki aliitaka Jumuiya ya kidini ya Uamsho Zanzibar kutoingiza siasa katika dini na ambapo pia aliwalaumu kwa kuwapotosha WaZanzibari juu ya Muungan owa Tanzania.
Picha inayoonekana hapo moja kati ya mabango yaliyotanda kwenye mkutano huo

No comments:
Post a Comment