Takriban wiki mbili tu tangu mchezaji Fabrice Muamba aanguke kiwanjani nchini Uingereza kwa mstuko wa moyo, mchezaji mwingine wa nchini Italia ameanguka kiwanjani jana kwa ugonjwa uo huo, na kupoteza maisha muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini.
Baadhi ya watu wanalaumu gari la wagonjwa mahututi kuchelewa kufika kiwanjani hapo kutokana na magari ya polisi kuweka kizuizi na kuchelewesha kufungua njia ya ambulensi hiyo kupita kwa haraka.
Pumzika pema Morosini.

Italian footballer dies from heart attack after collapsing on the pitch in front of horrified fans
- Midfielder Piermario Morosini, 25, fell to the ground mid-way through Italian second division match
- Tragedy happened just four weeks after Bolton footballer Fabrice Muamba suffered a heart attack
- Italian footballer was conscious as he was taken away in an ambulance
- Paramedics delayed taking him to hospital because a POLICE CAR was parked in the way
- All Italian fixtures called off last night as a mark of respect
An Italian footballer collapsed on the pitch and died from a heart attack in front of horrified teammates and supporters last night.
Former under 21 international Piermario Morosini, 25, who played for Livorno, was seen to tremble before falling to his knees and then to the ground midway through the first half.
Frantic players from both sides attracted the
No comments:
Post a Comment