Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake.
Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri
Waendesha magari wakipita kwa taabu katikazilizofurika maji ya mvua barabara katika moja ya mitaa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment