Sunday, 12 June 2011

Waziri mkuu Pinda na Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton wazindua mpango wa kujitosheleza na chakula nchini Tanzania.

                                     

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda wakipanda miche ya mboga mboga na Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Mhe. Hillary Rodham Clinton kwenye Shamba la ushirika la Mlandinzi Kibaha kuzindua mpango wa kujitosheleza na chakula Tanzania . Mhe .Cliton yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

                               

 Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mhe. Hillary Rodham Cliton akimsikiliza Mwalimu Mradi Bi Halima Abubakari kwenye shamba la ushirika la kikundi cha Upendo Mladinzi Kibaha wakati wa uzindunzi wa mpango wa kujitosheleza kwa chakula nchini Tanzania ,katikati ni Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Makamu mwenyekiti wa Upendo Bi . Haruna Soja.

No comments:

Post a Comment