Rais wa Zanzibar,akutana na Balozi wa Uingereza leo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akimsindikiza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo yao
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar.
Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake. Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri
No comments:
Post a Comment