Friday, 15 April 2011

Kaimu Naibu katibu mkuu CUF azungumzia muswaada wa katiba.

Bw.Julis Mtatiro,Kaimu Naibu katibu mkuu CUF.akiongea na waandishi wa habari katika makao makuu yaliyoko Buguruni jijini Dar es salaam.kuhusu muswaada wa katiba wa mwaka 2011.kitaakikisha utakuwa wa haki na wahuru,.Thomas Mongi.katibu mwekiti Taifa Caf,Kushoto,Mohamed Babu,mwenyekiti wa vijana CUF,wa kwanza kulia,

No comments:

Post a Comment