Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto)na Makamo wa Rais wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali,(watatu kushoto) wakijumuika na waislamu wengine kumsalia Marehemu Rahma Mshangama,aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa jamii,maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto,katika msikiti wa Mwembe Shauri Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Rahma Mshangama,aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa jamii,maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto,aliyezikwa leo katika makaburi ya mwanakwerekwe mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati)na Makamo wa Rais wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali,(wapili kushoto) wakijumuika na waislamu wengine kumuombea dua Marehemu Rahma Mshangama,aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa jamii,maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, aliyezikwa leo katika makaburi ya mwanakwerekwe mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment