Friday, 15 April 2011

TANGAZO LA KIFO


Bi Rahma hatunae tena



Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Bi Rahma Mshangama, Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar   kilicho tokea leo hii na Maziko yatafanyika Mwembeshauri baada ya Sala ya Ijumaa. Mwenyeenzi Mungu amlaze pema peponi Amiin

No comments:

Post a Comment