Rais wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Maadhimisho ya siku ya Sheria Nchini yaliyofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama kuu ya Tanzania, Kivukoni Front leo hii
Ni Baadhi ya Majaji wakiingia katika viwanja vya sherehe
Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufaa
Wapili kushoto ni Waziri wa Sheria na katiba Mhe Celina Kombani watatu kushoto Jaji mkuu wa Tanzania Mhe Mohammed Othman Chande na watatu kutoka kulia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Anna Semamba Makinda na Majaji
No comments:
Post a Comment