Thursday, 10 October 2013

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA YALIYOTOLEWA KATIKA MABARAZA YA KATIBA




Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Bw. Yahya Msulwa.



Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwatumu Malale (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu.



Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu (kulia) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. Kuli ni Mjumbe wa Tume, Bi. Mwatumu Malale.



Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Awadh Said (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wengine wa Tume, Bi. Mwatumu Malale na Prof. Mwesiga Baregu wakati wa kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni. 



Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi. Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwizu wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) kuchambua maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilisha na kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment