MICHEZO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KIJIJI CHA WATOTO SOS ZANZIBAR YAFANA .
WAZRI wa Habari,Utamaduni, Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Timu itakayoshinda katika michezo hiyo kwa Mkurugenzi wa Kijiji hicho Suleiman Mahmoud Jabir.
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan akimkabidhi Nahodha wa timu ya Everest Malik Juma, baada ya kuifunga timu ya Kilimanjaro 3-1
MTOTO Nabil Haji akikabidhiwa Kikombe cha Ubingwa wa Mpira wa miguu kwa kuifunga timu ya Skuli jirani ya Al- Falah, na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan katika maadhimidho ya sherehe za kutimia miaka 20 ya SOS Zanzibar.
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Zanzibar Shery Khamis akiwapongeza waandaaji wa tamasha la michezo la kuadhimisha miaka 20 ya kijiji hicho Zanzibar iliofanyika katika Viwanja vya Kijiji hicho Mombasa.
WANAFUNZI wa Kijiji cha SOS wakiwa katika moja ya mchezo wa kula andazi ikiwa ni moja ya michezo iliofanyika katika Tamasha hilona mwanafunzi Haruob Saleh kuibuka mshindi wa mchezo huo.
KAZI ilikuwepo hapa hadi kupatikana mshindi wa mchezo huu.
WATOTO wa Skuli ya Kijiji cha SOS wakiwa katika mchezo wa kusukuma bero.
WATOTO wa Skuli ya Kijiji cha SOS wakiwa katika mchezo wa kusukuma bero.
No comments:
Post a Comment