RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni,akipokea hati ya uthibitisho ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar , na Cheti cha ushiriki mgombea urais huo, katika uchaguzi mkuu uliopita, kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Said Bakari Jecha. Ikulu mjini Zanzibar, leo.(Picha na Ikuklu, Zanzibar).
No comments:
Post a Comment