akihutubia watanzania wanaoishi Dubai


Mwenyekiti wa chama cha Watanzania UAE Bwana Mohammed Shariff
akimkabidhi Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
Zawadi ya Tshirt na kofia kama ishara ya Uanachama wake katika chama hicho.
Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake. Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri


No comments:
Post a Comment