Friday, 24 December 2010

RAIS DR JAKAYA MRISHO  KIKWETE AKIWA MALAWI KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI



Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akikaguwa Gwaride rasmi la vikosi vya ulinzi na usalama  vya Malawi Baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Blantyres Chileka International Airport katika Ziara ya kikazi ya siku moja

 Rais wa Malawi Bingu wa Mutharika akisalimiana na kumkaribisha Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuwasili Blantyre


 Mtoto wa kimalawi Kiki Mbilizi akimvisha shada la maua Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuwasili uwanja wa ndege


 Rais Dr  Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kumbu kumbu ya former Malawi First Lady Madame Ethel Zvauya Mutharika aliyefariki 2007 na kuzikwa Mpumulo wa Bata Mousoleum


Waziri wa mambo ya nje wa Malawi Etta Banda akimkaribisha Rais Dr Kikwete kwa style ya aina yake ya kupiga magoti, na kushoto yake ni Waziri wa Malawi wa Transpot and Public Infrastructure.

{Picha zote kwa hisani ya Freddy Maro}

No comments:

Post a Comment