Thursday, 16 December 2010

Maziko ya Dr Remmy Ongalla

MAELFU WAMZIKA DR REMMY ONGALLA JIONI HII KATIKA MAKABURI YA SINZA DAR
ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO HAYO




Jeneza la marehemu Dr Remmy


Mamia ya watu wakiwa makaburini wakati wa maziko ya marehemu Dr Remmy


















Mtoto wa kike wa marehemu Remmy akimzika baba yake





Mjane wa marehemu Remmy Ongalla






Maziko yaliondokea katika viwanja vya Biafra Sinza

No comments:

Post a Comment