Thursday, 16 December 2010

Dr Shein akiwa Mkoani Pemba

Dr Shein akizungumza na wana ccm wa Mkoani Pemba









Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Mapinduzi ccm na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein
akisalimiana na viongozi wa CCM Wilaya ya Mkoani jana ikiwa ni katika ziara zake za kuonana na viongozi wa Wilaya 10 za CCM ya Mikoa mitano ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment