Ufalme Uingereza wapata mtoto wa Kiume
Mwana Mfalme Prince William akiwa na Mkewe.
Mke wa mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William,Kate Middleton amejifungua mtoto wa Kiume jioni hii.
Kasri la Kensington limetangaza kuwa Duke wa Cambridge
amejifungua mtoto huyo majira ya jioni kwa saa za Uingereza.
Taarifa zaidi zitafuata punde.
No comments:
Post a Comment