Wednesday, 5 June 2013

Kuwasili kwa Boti ya Kilimanjaro 4 Zanzibar.

 
 Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro ikiwa katika Meli ya Kampuni ya Richardson Devine Marineya Tasmania Australia, ikiwa na boti hiyo ikisubiri kushushwa katika bahari ya Zanzibar .
 
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Usafiri ya Azam Marine,Husseim Mohammed Said, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya S.SB, Said Bakresa wakati wakisubiri kupokea kwa Boti ya Kilimanjaro 4. akiwa na Maofisa wa Kampuni hiyo katika bandari ya Zanzibar 
 
 
Boti Mpya ya Kilimanjaro 4 ikiwa katika bandari ya forodhani baada ya kushusha katika meli ilioileta Zanzibar.
 


 
Sehemu ya Daraja la Kwanza katika Boti mpya ya Kilimanjaro 4.ikionekana katika picha baada ya kufunga gati katika bandari ya malindi leo.


 

 
 
 
 Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Azam Marine Said Bakresa, akiwa na Ofisa wa Kampuni yake Abrazak wakati wa majaribio ya Boti hiyo ilipowasili katika bandari ya Zanzibar. 
 
 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine Hussein Mohammed Said, akizungumza na mwandishi wa habari Abdalla Majura, kuhusiana na ujio wa boti ya Kilimanjaro 4,    
 
kwa Hisani ya Zanzinews
 

No comments:

Post a Comment