Thursday, 6 June 2013

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa mazungumzo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi, baada ya mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment