Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Wataalam kutoka jumuiya ya WIPO,pamoja na kituo cha Kimatifa cha Biashara ITC,zenye Makao Makuu yake Geneva nchini Switzerland,ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo, na kuzungumza masuala zaidi ya kukuza thamani ya zao kuu la uchumi wa Zanzibar,Karafuu.
No comments:
Post a Comment