Sunday, 16 October 2011

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ATEMBELEA MAONYESHO  KATIKA VIWANJA VYA SALAMA BWAWANI



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akiangalia maonesho ya bidhaa mbali mbali za vikundi vya ushirika vya akinamama,katika viwanja vya Salama Bwawani Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza vikundi hivi katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akipata maelezo kutoka kwa Saida Ali Mohamed wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,maendeleo ya wanawake na watoto,alipotembelea maonesho ya bidhaa mbali mbali za vikundi vya ushirika vya akinamama,katika viwanja vya Salama Bwawani Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza vikundi hivi katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC uliomalizika leo


 

No comments:

Post a Comment