Wednesday, 19 October 2011

MISS UNIVERSE TANZANIA 2011 NELLY KAMWELU AKIONDOKA NCHINI KUELEKEA CHINA LEO HII



Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere mchana wa leo wakati akijiandaa kuondoka kuelekea nchini china kushiriki mashindano ya Miss International 2011, yatakayo fanyika mjini Chengdu nchini humo kuanzia tarehe 20/10/11 na fainali inatarajiwa kuwa tarehe 06/11/11.


Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akishindikizwa na Dada Mwanakombo Salum
wakati akiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari yake hiyo

No comments:

Post a Comment