
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Finland nchini Tanzania Sinikka Antila alipofika Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania Sinikka Antila alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment