Nchi ndani ya kanda

ZNZ, JMT NA EAC: NCHI NDANI YA KANDA
ISIYOKUWA NA UWAKILISHI
Historia 1
Afrika Mashariki kabla Ukoloni
- makabila na watu
- misingi ya awali ilitandikwa
- dhana ya ushirikiano ilianzishwa
- ukoloni ukapata wepesi
- ukoloni wa Kiingereza ukarahisisha
Historia 2
- 1900 Mombasa kuwa kuihudumia Uganda
- Bodi ya Sarafu – Kenya na Uganda
- 1917 Muungano wa Forodha Kenya Uganda
1922 Tanganyika
- 1948 kuanzishwa kwa High Commissions
- 1961 Common Services Organization
P&Telecom, Railways& Harbours, Airways,
Aviation Services and EA Dev Bank
Jumuia ya Kwanza
• Uhuru ulisaidia
• – haja ya uchumi imara
• – nguvu ya pamoja
• – dhana ya umoja uzalendo wa Kiafrika
• – hamu ya ukombozi mtu mmoja mmoja
Kwa nini Jumuia ilivunjika
• Tofauti za kiitikadi
• . Migongano ya viongozi
• . Malalamiko ya mgawano wa taasisi
• . Uchumi na vyanzo visivyolingana
• . Kupungua kwa nia ya kisiasa
• . Ushawishi wa kigeni
• Nabudere: economic crisis and balance of payment problem
Hasara za Kuvunjika
- Ajira
- Kuvunjika kwa taasisi za Common Serivces
- Kuzuilika kwa watu kusafiri na kuingiliana
- Hasama na ugomvi baina ya nchi
- Ushindani usio na maana baina ya nchi
- Kuchimbana kisiasa
- Kukosa imani na kutiliana shaka hata mtu na mtu
EAC Mpya: Misingi mipya? 1
• Med. Agr. for the Division of Assets. 1984
• . Permn. Trip. Comm. on EA Corpor. 1993
• . Mkataba Novemba 30, 1999
• . Ulianza kazi July 7, 2000
• .EAC ilizinduliwa January 2001
Misingi Mipya? 2
• Mikataba kadhaa:
• 1. Foreign Policy Coordination
• 2. Zero Tariff rates
• 3. Non tariff barriers
• 4. Mechanism to deal with terrorism
• 5. East African Passport
Sura ya Mkakati
Kuondoa vikwazo vya kodi
• . Kurahisisha usafirishaji baina nchi
• . Umoja wa Forodha
• . Soko la Pamoja: watu, kazi, rasilmali, mtaji, makaazi, huduma
• . Sarafu Moja
• . Umoja wa Kisiasa
Maeneo ya Ushirikiano
• Ni msingi wa ushirikiano
• . Yanahusu nchi zote bila ubaguzi
• . Maamuzi yatimizwe na wanachama
• . Vipengele vya kinga Article 26 –financial,
• Art. 48 economy, Art 49 Imbalances
EAC: Fikra mpya?
• Misuko suko mikubwa ya kiuchumi
• . Changamoto ndani ya nchi moja moja
• . Nia ya kweli ya kushirikiana
• . Ukomavu wa kisiasa
• . Matakwa ya uchumi wa kisasa
• . Mapenzi ya wananchi kuwa na umoja
Mafanikio : Wigo wa mashirikiano
EAC imekuza mashrikiano katika maeneo kadhaa
. Kuondoshwa viza za wanafunzi – Urahisi wa kukutana wadau wa afya
. Kuwepo programu mtambuko ya jinsia
. Uaonishaji wa mfumo wa kupata ruhusa za kazi
. Kuwepo Mpango wa Pamoja wa Maendeleo ya Sekta Binafsi
. Usalama Ziwa Victoria
Vikao –Forums
. Majaji Wakuu, Haki za Binaadamu, Tume za Uchaguzi
Wakuu wa Polisi, Wakuu wa Usalama, Wakuu wa Majeshi
Kupata hadhi ya usiklizaji :
EA Business Council, EA Trade Union Council, Kituo cha Katiba,
EA Law Society, EA Book Development, EA Magistrates and Judges
Uanachama wa EAC
• Art 3 Mkataba ni wa nchi
• . Uwezo kukaribisha wanachama wapya
• – Mkataba, Viwango vya Kimataifa,
• Uwezo kuchangia, Ukuruba, Uchumi
• wa soko, Sera linganifu
• . Kwa macho ya EAC: Zanzibar si nchi
ZNZ ndani ya JMT : 1
• . NYONGEZA YA KWANZA
• – Mambo ya Nje: Ni nchi moja kimataifa na ndani ya EAC
• – Uraia : Tafsiri hakuna raia zaidi ya Mtanzania
• – Utumishi wa Jamhuri- Unatenga utumishi wa Zanzibar kuingia kwenye Jumuia
ZNZ ndani ya JMT: 2
• Katiba ya JMT:
• Aya 1: NCHI MOJA
• Aya 2: Eneo la la TB na Zanzibar
• . SURA YA NNE: Na athari kwa EAC
• . Utata wa Mambo ya Muungano
• . Nchi moja chumi mbili; Nchi mbili chumi mbili au nchi au Nchi moja uchumi mmoja?
Zanzibar ni Nchi?
• 1. Kwa sababu ina eneo na mipaka
• 2. Mshirika kamili wa Muungano
• 3. Ina Serikali na taasisi zote za Kiserikali
• 4. Ina watu wanaoishi kwa kudumu
• 5. Ina sera, mipango na mikakati yake
• 6. Ina uchumi unaojitegemea
• 7. Ina haja na matumaini yake wenyewe
TZ na uwakilishaji wa ZNZ
• Mambo ya Muungano: Ridhaa?
• . Mambo yasio Muungano: Haki?
• . Vipaumbele ZNZ vs Vipaumbele TZ
• . Ushirikishwaji wa ZNZ
• . Uzoefu wa uwakilishi wa maslahi ya ZNZ
• . Uchumi wa ZNZ
• . Kuguswa kwa ZNZ picha kubwa ya EAC
Zanzibar ifanye nini? 1
• Mjadala wa nafasi ya Zanzibar uwepo
• . Katiba itoe tamko
• . Ipewe: Mwanachama Mshirikishi
• . Ijiwakilishe Council of Ministers kwa mambo yasio ya Muungano
• . Iwe na Ofisi imara Arusha
• . Kitengo: EAC ndani ya SMZ kiwe imara
Zanzibar ifanye nini? 2
• Kama huwawezi, ungana nao
• . ZNZ iwe na Sera na Mkakati wa EAC
• . Ichague maeneo ya kufanyia kazi
• . Ijipange kuchukua sehemu ya soko
• . Serikali iweke Mfuko
• . EAC iwe somo ngazi ya shahada
• . Mpango wa mpito ni muhimu
No comments:
Post a Comment