MAKAMU WA RAIS KUZINDUA MTAMBO WA GS 1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma Global Standard GS1 nchini Tanzania, ‘Mfumo wa utambuzi wa Bidhaa’Uliozinduliwa leo Julai 04, 2011 kwenye Viwanja vya Julius Nyerere Dar es Salaa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuzindua rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa Bidhaa Tanzania, (Global Standard 1 ), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo Julai 04, 2011.
No comments:
Post a Comment