Monday, 4 July 2011

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR SEIF SHARIF HAMAD ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA FEDHA

Makamu wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozwa na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kutembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es salaam, kulia ni Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma
Makamu wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozwa na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kutembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment