"Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya ZAWA-UK. Mkutano ulifanyika siku ya Jumamosi, 2 July 2011, hapo ofisi ya Ubalozi – London"



Viongozi wa Jumuiya ya ZAWA - UK kutoka kushoto Mwenyekiti Bw Hassan Mussa, Naibu Katibu Bw Ahmed Seif, Mjumbe Bibi Furjan Massoud

viongozi wa Jumuiya ya ZAWA-UK wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Bw Peter Kallaghe, wakati wa kikao cha pamoja baina ya taasisi mbili hizi.

No comments:
Post a Comment