WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marelani, Hillary Clinton akiwa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe alipowasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini.
No comments:
Post a Comment