Tuesday, 7 June 2011

RAIS JK AZINDUA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA MITANO 


Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda, mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akilihutubia taifa leo mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda.





 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nakala ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano, mwenyekiti wa kamati ya Uchumi na mipango ya Bunge Dr.Abdalah Kigoda muda mfupi baada ya kuuzindua katika ukumbi wa mikutano wa St.Gaspar Mjini Dodoma leo jioni




Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akibofya laptop kuashiria kuzindua rasmi Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano(2011/12-2015/16) katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa St.Gaspar Mjini Dodoma leo jioni.

No comments:

Post a Comment