Mkutano wa nne (wa bajeti) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waanzaa rasmi asubuhi hii
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaongoza wabunge wa Bunge la Tanzania kuimba wimbo wa Taifa jana mjini Dodoma kuashiria kuanza kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania
Baadhi ya wabunge wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kipindi cha maswali na majibu jana mjini Dodoma wakati wa kuanza kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma.
Waziri Mkuu - Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi John Magufuli jana mjini Dodoma kabla ya kuanza kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania.
No comments:
Post a Comment