MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Mama Zakhia Bilal, Balozi Obeni Sefue na Waziri Wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji, wakisimama na kuimba wimbo wa maalum baada ya kuwasili kwenye eneo la hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake, Haji Hamis, akizungumza na kutoa utambulisho wa viongozi na wanachama wa Jumuiya hiyo, ambao hadi sasa wamefiki 110.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia Watanzania waishio New York na Vitongoji vyake, wakati alipokutana nao kwa ajili ya mazungumzo nao na kuwatambua, ikiwa ni mara ya kwanza tagu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo.
Baadhi ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia.

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akipiga picha za kumbukumbu.
Sehemu ya watanzania waishio New York na vitongoji vyake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jumuiya hiyo baada ya kuwahutubia.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.


No comments:
Post a Comment