TANZANIA NA UAE WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO Balozi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Waziri wa Mambo ya Nje wa Falme za Kiarabu (UAE), Shaikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, wakitia saini mkataba wa kuanzisha Tume ya Pamoja ya Ushirikiano baina ya nchi hizo, mjini Dubai ambako Waziri Membe alihudhuria Mkutano wa kupanga mikakati ya kukabiliana na maharamia wanaoteka meli baharini. Wengine ni Balozi wa Tanzania UAE, Mohammed Maharage (wa pili kulia nyuma), na Baraka Luvanda ambaye ni Ofisa kutoka Kitengo cha sheria, Wizara ya Mambo ya Nje.
No comments:
Post a Comment