Wakurugenzi Wengine Wateuliwa
Na Salma SaidRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein jana amefanya uteuzi wa wakurugenzi wengine wa Taasisi mbali mbali serikalini zilizokuwa hazijateuwa wakurugenzi hao.
Walioteuliwa katika Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo na Vijana, Wanawake na Watoto, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti, Mhaza Gharib Juma, huku Iddi Ramadhan Mapuri akiteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi.
Wengine Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Halima Maulid Salum, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, Mohammed Salum Ali na Rahma Ali Khamis anakuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Wanawake na Watoto.
Aidha, Afisa Mdhamini wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto, Maua Makame Rajab.
Katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi, Kiuchumi na Ushirika, aliteuliwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti, Radhia Rashid Haroub, Asha Khalfan Mohammed kawa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi.
Aidha, Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Uratibu wa Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Ameir H. Sheha na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo na Ushirika Khamis Daudi Simba.
Kamishna wa Kazi, Kubingwa Mashaka Simba, Mkurugeni wa Idara ya Ajira Ameir Ali Ameir, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama Kazini, Suleiman Khamis Ali, Mkurugenzi wa Idara ya Mikopo Bihindi Nassor Khatib, Afisa wa Mdhamini wa Idara ya Kazi, Uwendeshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Pemba, Saleh Mbarouk Amour.
Walioteuliwa kuingia Wizara ya Afya, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti Abdul-latif Khatib Haji, Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi Juma Rajab Juma, Mkurugenzi wa Idara ya Tiba, Dk. Salhiya Ali Muhsin.
Wengine ni Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya ya Jamii, Dk. Mohammed Jabir Ukki Dahoma, Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk. Jamala Adam Taib, Mkurugenzi wa Bohari Kuu ya Madawa Mayasa Salim Ali.
Aidha, Mkemia Mkuu wa Serikali Dk. Slim Rashid Ali, Mfamasia Mkuu wa Serikali Habib Ali Shariff na Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Afya Pemba Dk. Mkasha Hija Mkasha.
Kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee uteuzi wa Wakuu hao umeanza jana rasmi.

No comments:
Post a Comment