Katibu Mkuu wa cuf Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na Mwakilishi wa Mtoni Mhe Nassor Ahmed Mazruh walipo wasili katika uzinduzi wa Tawi la cuf Monduli Jimbo la Mtoni jana
Katibu Mkuu wa cuf Maalim Seif Sharif Hamad akikata utepe kwa ishara ya uzinduzi wa Tawi hilo la Monduli
Hapa Maalim Seif Sharif Hamad akipandisha Bendera ya cuf na huku wimbo wa Taifa wa cuf ikiimbwa
{Ni haki sawa, kwa watu wote, kutumikia taifa letu, utajirisho itikadi yetu,tukatae kuonewa}
Hizi ni baadhi ya beti za wimbo wa cuf Taifa
Maalim Seif Sharif Hamad akiwakabidhi wanachama wapya 56 waliojiunga na chama hicho katika tawi hilo la monduli jana
Katibu Mkuu wa cuf na Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia wanachama wa cuf waliohudhuria katika uzinduzi wa Tawi hilo la Monduli jimbo la Mtoni
Picha zote kwa hisani ya mwandishi Bi Salma Said
No comments:
Post a Comment