Rais waTanzania Dkt Jakaya Kikwete alitembea kwa miguu kutoka hoteli hadi Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Marekani siku ya Jumatano Sept 18, 2013 na kukutana na Mabaozi wa Heshima ambao jana Jumatano wasaini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataofanyakazi wakiiitangaza Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya uwekezaji, Utalii na mambo mengine yatakayosaidia kuinua uchumi wa Tanzania.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akitia saidi kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Rais waTanzania Dkt Jakaya Kiwete alipowasili ndani ua ufisi ya ubalozi huku akisalimiana na wageni pamoja Maafisa Ubalozi wa Tanzania Jijini Washington, nchini DC Nchini Marekani
Rais Dkt Jakaya Kiwete akisalimiana na Bwna Muhammed Matope ndani ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Washington, nchini DC Nchini Marekani
No comments:
Post a Comment