Thursday, 10 March 2011

Rais wa Zanzibar Dk Shein Akutana na Mabalozi Wa Ireland na Cuba



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Bw Emesto Gomez alipofika Ikulu leo kuonana na Rais





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Bw Loccam Fullam alipofika Ikulu leo kuonana na Rais.

No comments:

Post a Comment