Tuesday, 15 March 2011

Babu katika picha

Babu wa Loliondo na hali ilivyo katika picha






Mzee Ambilikile Mwasapile






Dawa tayari ndani ya kombe





Mti ambao babu hutumia kutengenezea dawa





Barabara ya kwenda kwa Babu





Foleni ya magari kwa Babu






Mamia ya watu wamekwenda kwa Babu





Babu akizungumza na Ben Mwang'onda wa BBC





Watu wakisubiri kumuona Babu






Mgonjwa akisubiri kumuona Babu





Dawa ya Babu





Watu wakipokea dawa





Mamia ya magari kwa Babu





Kwa Babu Loliondo





Watu wakinywa dawa ya babu





Foleni ya watu wakisubiri 'kombe' la babu





Babu akitoa dawa

No comments:

Post a Comment