Friday, 25 February 2011

MAKAMO WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA FALME ZA KIARABU
 IKULU DAR ES SALAAM







Makamo wa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Mohammed Gharib Bilal
akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Falme za Kiarabu ulioongozwa na Waziri  wa Nchi wa Falme  hizo Dk Reem Ibrahim Al Hashimy, Ujumbe huo ulipokwenda Ofisini kwa Makamo wa Rais
Ikulu Da re salaam katika mazungumzo yao walizungumza juu ya kukamilisha utaratibu wa kuundwa
Tume ya pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Falme za Kiarabu.

No comments:

Post a Comment