Jumuiya za East Africa Education Foundation na ZAWA zinawatangazia Wazanzibari wote na marafiki wa Zanzibar  kuhudhuria katika kisomo/dua siku ya Jumapili ya tarehe 19/12/10 kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufanikiwa kukamilisha uundwaji wa serikali ya “UMOJA WA KITAIFA” kwa salama; na Kumuomba aendelee kuibariki na kuipa nchi yetu amani na utulivu(AMIN).
Inshallah kisomo kitaanza saa tisa (3.00 PM) alasiri katika ukumbi wa Madrasa hapo Manor Park.( Shughuli hiyo ni kwa wanaume tu).


ANUANI: 30 Station Road (Rear),
Manor Park,
London E12 5BT.

NAMNA YA KUFIKA
  1.     Kituo cha High Street North- Bus 25, 86 Kutoka Stratford Station,
  2.     Kituo cha High Street North -Bus 25, 86, W19 kutoka Ilford,
  3.     Kituo cha Manor Park Station- Bus 101,104, 474 kutoka East Ham
  4.     Kutoka Stratford Station- Treni- National Express/East Anglia     (Liendalo Shenfield).

    Kwa maelezo zaid, tafadhali piga simu zifuatazo:-
    07931706414, 07859076571, 07535319433, 07535656346, 07853180339