Vikosi mbali mbali vya ulinzi vya serikali ya SMZ vilishirki katika sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Zanzibar
Maalim Seif akiwasalimia wanachi waliohudhuria hapo uwanja wa Amani ZanzibarDr. Shein akikagua majeshi baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar
Vikosi vya Ulinzi vikiwa makini katika kukaguliwa na Rais Dr.Shein
Umati wa Wanachama wa CUF waliohudhuria katika sherehe za kuapishwa Dr, Shein
Mh. Dr.Amani Abeid Karume akiwaaga wanachi mara alipo wasili katika uwanja wa Amani
Wanachama wa CUF siku hiyo walijitokeza kwa wingi zaidi kuja kushuhudia kuapishwa Dr. Shein
No comments:
Post a Comment