Saturday, 20 November 2010

Rais wa Tanzania na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar


Ni Rais wa Tanzania Mhe J M Kikwete akisalimiana na Makamo wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad huko Dodoma
Picha kwa hisani ya gazeti la ipp



Picha iliyopigwa katika Baraza la eid  baadhi ya viongozi wakiitikia Dua


  

Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa mjini
Maalim Abdullah Mwinyi katika baraza la eid



Rais wa Zanzibar  Dr Ali Mohammed Shein wakipongezana na Mbunge wa Wawi cuf Mhe Hamad Rashid siku alioapishwa Waziri Mkuu Mhe Pinda


Mizengo Pinda.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma 


No comments:

Post a Comment