ZANZIBAR MPYA - FUNGUO ZA KHERI

Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake. Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri

Page

  • Home
  • Contact Us
  • Michezo

Thursday, 12 September 2013


VIDEO:Taarifa ya Habari Kutoka ITV:Rais Jakaya Kikwete amesema kwamba serikali inatarajia kuboresha huduma ya usafiri wa abiria na mizigo katika reli ya kati, kwa kuanza kutoa huduma ya usafiri mara saba kwa wiki badala ya mara mbili kwa wiki, sambamba na kujenga reli ya kisasa yenye upana mkubwa na ambayo itaweza kuchukua treni ndefu na mizigo mizito zaidi na yenye mwendo kasi kuliko ilivyo sasa.



 
Posted by Zanzibar Mpya at 12:15

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

My photo
Zanzibar Mpya
Blog hii imeanzishwa mjini Zanzibar na inaendeleza kazi zake kote duniani. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba na habari na matukio ya ughaibuni kote walipo wa Zanzibar.Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. tunakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Ef05068@gmail.com.
View my complete profile

   

LINKS

  • http://www.zanzinet.org/journal/jul_03.html
  • zanzibar history
  • http://www.zanzibarhistory.org/tovuti_mia_moja_kumi_na_moja_za_Zanzibar_.htm
  • Mzalendo
  • Wimbo wa CUF wa Kampeni - 2010
  • Issamichuzi.blogspot.com
  • Othmanmapara.blogspot.com
  • Alhidaaya.com
  • bbcswahili.com
  • Mwanamkeznz
  • Zanzibarbit
Picture Window theme. Theme images by compassandcamera. Powered by Blogger.