Tuesday, 13 August 2013

RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA MAJIJI AFRIKA MASHARIKI       

IMG_3013
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja

IMG_2940
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakary Khamis Bakari,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,wengine (katikati) Jaji Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Chande Othman,na Jaji Mkuu Zanzibar Omar Othman Makungu

IMG_2953
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,
mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,
kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,

IMG_2961
 
 IMG_2969
 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

IMG_2976
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Majaji   wa Nchi za Afrika Mashariki, wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa  Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

IMG_2985
 
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa   wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.

No comments:

Post a Comment