Friday, 23 August 2013

KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA       


Mwenyekiti CCM Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma Agosti 23, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kushoto ni Makamu mwenyekiti Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein na kulia Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana.
 
IMG_0235
 
Wajumbe wa kamti Kuu ya CCM, Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Dr. Asha Rose Migiro  (kushoto) wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Kamati kuu ya CCM mjini Dodoma Agosti 23, 2013.

No comments:

Post a Comment