

KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akiwa anaingizwa katika chumba cha matibabu hospitali ya taifa ya muhimbili -MOI leo mchana, baada ya kupokelewa katika Hospitali ya muhimbili.
Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake. Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri


No comments:
Post a Comment