Monday, 5 August 2013

      

Bill Clinton Azinduwa Mradi wa Ondoa Malaria Zanzibar


IMG_2546
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

IMG_2575
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,(katikati) aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake,(kushoto) Chalsea Clinton,ni Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani.

IMG_2611
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo.

IMG_2680
Mtoto wa  Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton,akipiga mpira kama ishara ya kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara ya Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,kukagua miradi mbli mbali katika nchi za Afrika iliyo chini ya ufadhili wa Taasisi yake,(CLINTON FOUNDATION) katika uwanja wa Amaan leo.

IMG_2684
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani  Chalsea Clinton,baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za Wachezaji wa Zamani uliofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ,(katikati) Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton

No comments:

Post a Comment