Tuesday, 23 July 2013

                     

AJALI YA GARI LA JWTZ YATOKEA WAKATI WAKIELEKEA MAZIKONI

05
 
Dereva wa gari la JWTZ lililopata ajali katika eneo la Mwanakwerekwe wakati wa wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari Darfur akishushwa kwenye gari katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

06
 
 
 
 
 
 
 
 
Baadhi ya majeruhi wakipatiwa matibabu katika hospital ya Mnazi mmoja  ajali ambayo imetokea Mwanakwerekwe wakati wa wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari Darfur
 

No comments:

Post a Comment