Serikali imesema imechoka kuwabembeleza watu wanaokaidi maagizo kwa makusudi..
Serikali imesema imechoka kuwabembeleza watu ambao kwa makusudi kabisa wamekuwa wakikaidi maagizo halali yanayotolewa na hivyo imeliagiza jeshi la polisi kutosita kukabiliana na watu hao kwa namna yoyote ile hata kama ni kwa kuwapiga.
No comments:
Post a Comment