Tuesday, 12 June 2012

LULU MICHAEL ARUDISHWA RUMANDE



‘Lulu’ akishuka katika basi la magereza.
 
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii maarufu wa filamu za Bongo Steve Kanumba, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akisindikizwa na askari magereza kutoka katika jengo la mahakama Kuu kwenda mahakama kuu ya biashara.
‘Lulu’ ameshika tama akiwa ndani ya mahakama.
 
Lulu akiwa na mawazo tele juu ya hatma ya kesi yake
 
‘Lulu akiteta jambo na wakili wake muda mfupi baada ya kufika mahakamani.
 
Akitoka mahakamani baada ya kesi yake kusogezwa hadi tarehe 25 mwezi huu, ambapo watetezi wa ‘Lulu’ wametakiwa kuwasilisha vielelezo vyenye uthibitisho wa umri wake ifikapo tarehe 13 mwezi huu, wakati upande wa serikali wameomba kuwasilisha vielelezo vyao tarehe 22 mwezi huu ili kumaliza tatizo la utata kuhusu umri wa mtuhumiwa huyo.
 Ulinzi  wa uhakika ndani ya mahakama’ wakati kesi ya ‘Lulu’ ikisikilizwa.
 
Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipanda basi la magereza baada ya kesi yake.
 
 
 
Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika eneo lote nda na nje ya mahakama kuu wakati wa kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment