L&B ina lengo la kutoa huduma anazostahiki mgonjwa kupewa kama mgonjwa kwa mujibu wa hali yake na kujali maslahi yake (Value for Money). Iko chini ya Daktari bingwa wa mambo ya uzazi Gynacologist Dk Otta J Lymo na Dk Hakim Bilal ambaye kwa sasa ndiye mkuu wa Chuo cha Afya Mbweni.
Kwa mahitaji yote ya afya pamoja na mambo ya uzazi mnakaribishwa L&B Hospital Chukwani
No comments:
Post a Comment